Jumamosi, 11 Machi 2017

MAOMBI KWA AJILI YAKO NA FAMILIA YAKO

Tunakuwa na maombi ambayo yanatolewa bure kabisa kupitia mtandao, email yetu conguerorintheuniverse@gmail.com muda wowote wakati wowote Mungu wetu asiyebahatisha atakutembelea wewe na familia yako popote ulipo.

Cha kufanya ni kutueleza hitaji lako na litafanyiwa kazi mara moja bila kujali dini wala dhehebu lako.

#mteteziwakoyuhai

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni